Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Hahaha auntie ulitaka picha sio weweAuntie maelezo tafadhali.
Hahaha auntie ulitaka picha sio weweAuntie maelezo tafadhali.
Picha yako iko wapi?"Ex" imeondoka? Naomba nirudi chachi kushukuruhalafu picha ya shoti hair mimi bado kuiona, do the needful basi!!
Amesemaje etiLeo kanisan paroko amesema saana kuhusu hii kitu....neno limeniiingia
Kaa huko kidogo jamani
Jamani jamani
Niko njiani narudi mimi
Sasa inabidi utoe maelezo. Yupi ni yupi?Hahaha auntie ulitaka picha sio wewe
Yapi hayoLeo kanisan paroko amesema saana kuhusu hii kitu....neno limeniiingia
moja ya raha ya hii thread ni stress free. unapost au share vitu ambavyo vipo kwenye comfort zone yako. vitu simple ambavyo havihitaji utumie akili nyingi kuviandika kabla ya kupost.Naungana na mkwepu jr kugawa likes kwenye uzi huu, nikiona kitu kimekaa vizuri nagawa tu. Ila hapa bwana uwe 24/7 ndio utapata vitu live...
Kamera ndio tatizo mama!!Picha yako iko wapi?
Auntie we piga ana ana do tuSasa inabidi utoe maelezo. Yupi ni yupi?



tafuta 'koneksheni'
Kama nyinyi ni tumbo moja Basi libarikiwe tumbo lililowazaa
Nimekununia.Kamera ndio tatizo mama!!
@Mshana Jr eti ubarikiwe, tunaona vitu vitamu. Wengine huu ugwadu unafanya wapige msuli tumoja ya raha ya hii thread ni stress free. unapost au share vitu ambavyo vipo kwenye comfort zone yako. vitu simple ambavyo havihitaji utumie akili nyingi kuviandika kabla ya kupost.
aliyeanzisha hii thread Mungu ambariki sana.




Auntie hapo hata hamna haja ya ana ana do. Nataka kujua huyo mwingine ni nani?Auntie we piga ana ana do tu