Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,388
- 176,244
Haya.Uzee![]()
Haya.Uzee![]()
Yeye namfahamu, huyo mwingine ndio nataka maelezo.
Nimeenda PM nimerudi sijui nianzie wapi eti jamani!!
Hivi mbona mimi nakuomba sana tuonane unanikataliaHapana ndugu yangu... Tukionana utashangaa mno



Kama hivi, usiwe hivyo tuma nisafishe macho, doctor kaniambia nikiwa naona vitu vizuri vizuri macho yangu yatapona kabisaMie nawezaje kukubania![]()




Anzia hapo juu kidogoNimeenda PM nimerudi sijui nianzie wapi eti jamani!!



Kumbe viti, nenda sebuleni basi baba.Kama hivi, usiwe hivyo tuma nisafishe macho, doctor kaniambia nikiwa naona viti vizuri vizuri macho yangu yatapona kabisa![]()
W.end hii, amefichwa.Afazali... Cute yuko wapi? Memmiss![]()
Sheee lazima umuaibishe shetani.Naogopa naweza kushindwa kumuaibisha shetani![]()
HahahahahahaAnza kwa kutuonesha mguu au mkono ulioingilia hapa