Hahaha nikiwa primary mwalimu wangu wa tuition wa Hesabu alinikomaza sana. (Mungu ampe pumziko la amani). Siku ya test alikuwa anakuja na stopwatch; anasoma swali ndani ya dk 1 uwe umelimaliza then anasoma swali la 2. So pepa ya maswali 30/50 unaisolve ndani ya dk 30/50 respectively. Alinifanya niipende Hesabu hadi kesho na ikija kwenye kuandika; nina speed yangu amazing