Hayo sio pure
Ni Yale makapi ambayo yashachujwa,wafanyabiashara wadogo wanayachukua then wanayachemsha tena na kuyachuja
So kwa tunaojua siwezi nunua hayo
Angalia shoppers/ supermarkets
Huku yapo, ila kipindi kile mafuta yanaanza kupanda na yenyewe yakapotea.
Ni mazuri
Nayapenda
Me ni sunola au sundrop
Chapati zake zinatoka laini..Yeah huwa ni mzuri sana
Nilitumia mara moja hivi .. nikaupenda
Ah bora mavuno tayari tuanze na michele mpya
Nimenunua mchele mbaya huo na hauishi [emoji23]
Bei zilipanda mwishoni mwa Mei hapo kilo ya mchele hadi 2400
Umemix haya maelezo.. sundrop haina povu, wala hayabadiliki hata yakikaa sana ‘kw wale wapishi wa mara chache chache.Watu wanayapenda sana maana yako packed na vitamin pia
Na ukiangalia hayana harufu basi ndo chaguo la wengi .
Sema yanatoka kiwandani na watu wanaamini hiyo brand yao ya Sundrop .
Ah kweli huko mnayajua sio huku mafuta mabaya mnaletewa hamjui .
Mimi nikiona hivi simu ya girlfriend ndio ticket ya kuachanaWanawake [emoji1787]View attachment 2255779
Kwanini ? 🤣🤣Mimi nikiona hivi simu ya girlfriend ndio ticket ya kuachana
Chapati zake zinatoka laini..
afu sio mgumu kukolea mayai
Kula kila siku [emoji1787]
Vishuke tu vitu bana, juzi kati nimeuziwa mahali maharage alisema ni mapya maji mara 1. Kg 2500
Achana na mafuta lock down unapajua njoo unywe desperadoHayo sio pure
Ni Yale makapi ambayo yashachujwa,wafanyabiashara wadogo wanayachukua then wanayachemsha tena na kuyachuja
So kwa tunaojua siwezi nunua hayo
😁😁😁😄😄Ndio nilichekwa hivyo siku nafika home mdomo huooo [emoji23][emoji23] mdogo wangu akaniuliza huko mdomoni vipi huku anacheka niliona aibu sana
Yes dearUmemix haya maelezo.. sundrop haina povu, wala hayabadiliki hata yakikaa sana ‘kw wale wapishi wa mara chache chache.
Na bei yako juu
Tofauti na hizi alizeti za kina singida
Nahisi Mimi ndio ntakua nacheza hio vikundi hela zote atatoa kwangu bila maelekezo siunajua saiv wanaume hela zetu zimeshikana na rohoKwanini ? [emoji1787][emoji1787]
Zinatoka bombastic..Ah kumbe
Chapati zatoka vizuri hivyo kumbe
Nitajaribu kupika kwa chapati nione
Ah sijui vitashuka lini .. kila siku vyapanda tu weh
Ulivyochemsha yaliiva upesi sasa ?
Sema huko mnapata fresh from shamba
Last time nimeununua maharage ilikuwa 2800
Sabuni nazo zipo juu
Sasa bora utumie zako shower gel yako
Haha msitufanyie hivyo jamani 🤪🤪Nahisi Mimi ndio ntakua nacheza hio vikundi hela zote atatoa kwangu bila maelekezo siunajua saiv wanaume hela zetu zimeshikana na roho
AiseeWanawake 🤣View attachment 2255779
Zinatoka bombastic..
Yes, ila nilipika kwa multi cooker’ 35mins!
Huku vya shambani kuna muda vinakuwa vingi.. ni raha tu, kama hapo August viazi ulaya vitakuwa vingi.
Sabuni ni kweli [emoji848]
Natumia tu pears, kuna mahali nilikuwa nachukuaga kwa 2500.. sahivi sehemu ya karibu nachukua kwa 3500
Depal usinipange nimewaka tayari hukuHaha msitufanyie hivyo jamani [emoji2957][emoji2957]
Una raha mkuu.. unawaka hata wkend bado..Depal usinipange nimewaka tayari huku
Antonnia asante kwa taarifaHabari za usiku selfika family![emoji113]
Kiukweli Nawamis na kuwakumbuka sana sana nivile tu nimebanwa na majukumu kidooogo ya kuweka [emoji736] au[emoji735] kwa hawa vijana wetu waliomaliza majuzi hapa. Lakini break nachungulia chungulia nakutana na Salamu zenu nyingi sana za kunimiss kwa namna moja ama nyingine nami nawakumbuka sana wapendwa mbarikiwe sana!
Anyawys lengo la kuwasumbua hapa ni kutaka kuwajulisha kuwa kwa sasa nimebadili username kutoka " Mahondaw" to" Antonnia" kama inavyojionesha hapo!
Nina kama wiki moja tangu nibadili username hii sasa kwa leo jioni Katika kuja kuwasabahi ndugu zangu selfika nikakutana na salamu za kukumbukwa kutoka kwa mpendwa Nuzulati Katika kusoma soma pages nikaona mahala Kelsea amesema anashangaa anaona kuna mtu anatumia my former username Mahondaw ila alipomchunguza akagundua sio mimi . Then mimi pia nikafuatilia kuprove kama ni kweli na kugundua kuwa ni kweli my former username is in use but to another person!
So please wapendwa kuanzia sasa sihusiki/sitahusika na kitu/ content yoyote ambayo itapostiwa kwa hio username ya Mahondaw!
Katika kufatilia inaonekana huyu mtu anapendelea sana sana nyuzi hizi: [emoji116]
1.Likes
2.Vituko mitandaoni
3.Picha za warembo
Pia huu uzi wa selfika ni mdau sana ukiangalia posts za nyuma utamuona!
Sijajua lengo lake ni kunichafua / kutapeli kutumia hilo jina or for what seriously I don't know wapendwa but I smells something fishy in here![emoji1745]
So nimeona ni vema nika wa alert / kuwapa precautions mapema wapendwa wangu!
Na Avatar niliokua naitumia kwa Mahondaw hio hapo chini nimeifanya hivo makusudikally
Na hii post nimeona niiweke tu usiku huu sasahivi ni saa 00:52 am kabla hakujakucha huwezijua ya waja!
Asanteni sana
Nawasilisha
Mshana Jr Nuzulati Kelsea Mjep cocastic Glenn Shimba ya Buyenze Strawbella mtu chake Yna2 sophy27 Hustler one Ngariba1 Christine1 Wigelekelo Katriel tamsana spidernyoka Saint Anne _King Heaven Sent genetic mbalizi1 CAPTORHINOMORPHS My Sons Legacy na wengineoView attachment 2255849View attachment 2255852View attachment 2255853View attachment 2255854View attachment 2255855View attachment 2255856
Khaaaa 🤣🤣😂Habari za usiku selfika family![emoji113]