Ni mateso mno.Duh! kuna watu wanateseka.
Matokeo yake mdada kama huyo akikutana na mtu anaemsikiliza. Anamuacha jamaa.
Halafu jamaa anaanza kujiuliza "tatizo nini mbona show huwa napiga ya kibabe mpaka anaomba poo"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa!Kiboo nafika anajua kuna sehem akigusa kwishaa habari yangu hapo nataja mpaka mizimu ya kwetu[emoji41]
Fanya kama huoni vileAah aona aibu🙈🙈🙈
Na Mimi nifanyie wepesi hata mdogo wako halafu sipo mbali nipo near gentlle hills tu hapa [emoji16][emoji16][emoji126][emoji126]yaani mwambie ndo navaa hapa kivazi ambacho kinahasisha
Nije
Ni mkubwa 27 yrs, ila ana upuuzi mwingi.Huyo boya alikuwa last born labda...
Upate binti anayekurahisishia kazi halafu unune kha!
Ah huyo hafai[emoji23][emoji23] mama ni aibu mno. Nikishaona natafunwa mdomo na zoezi tunaghairi sitaki kesi mimi.
G ww ni kibongeAh pole
Tupe sifa yetu vibonge [emoji23]
Mbona sasa hujaja?Yatawashinda
[emoji23] noma sanaAh huyo hafai
Kungatwa mdomo uvimbe huo [emoji23][emoji23]
YeahG ww ni kibonge
Jf kuwa maskini ni kujitakia tu 😀😀JF haina mwanaume mwenye uhitaji. Kila me humu ana gari na maisha mazuri, kazi za maana; na kilichobaki ni kula bata tu na kupelekea moto mbususu za pisi kali.
Vocha waachiwe mabinti! [emoji51][emoji51][emoji51]
Respectfully noted [emoji419][emoji419][emoji419][emoji16][emoji16]Yeah
Chubby fulani hivi
Yani JF kila mtu mjuaji.JF haina mwanaume mwenye uhitaji. Kila me humu ana gari na maisha mazuri, kazi za maana; na kilichobaki ni kula bata tu na kupelekea moto mbususu za pisi kali.
Vocha waachiwe mabinti! [emoji51][emoji51][emoji51]
Niwe masikini mtaani na JF!Jf kuwa maskini ni kujitakia tu [emoji3][emoji3]
Embu nitumie pm ma GYeah
Chubby fulani hivi
Mchambuzi msaidizi daraja la pili wa mifumo Liverpool football club england
Ulipiga chini au ulivumilia kubemendwa mdomo?Ni mkubwa 27 yrs, ila ana upuuzi mwingi.
Kuna wanaohitaji muda na uwekezaji mwingi, aaah ninkuchoshana tu!!Mama mimi nasema vizuri tu kama haelewi namtolea na mifano kabisa [emoji23][emoji23] ila sasa lazima na yeye awe vizuri kuna wale hata ukimuelekeza anakuangalia tu
Hapa starehe tu shida peleka kwa mwamposa [emoji3][emoji3][emoji3]Niwe masikini mtaani na JF!
We ulisikia wapi? [emoji16][emoji16]
Huyo ni mpenzi wa rafiki yangu, bado wapo wote na upuuzi wake [emoji23]Ulipiga chini au ulivumilia kubemendwa mdomo?
Mambo mengine yanachekesha [emoji16][emoji16][emoji16]