Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna mwingine unaanzaje kumuambia uwiiii!! Lakini mwingine aaarrh mnakua kama friends vile hadi raha!!! Hasa kipindi cha ujana ujana lakini!
Ndio maana mwanzoni nimekueleza kuwa ni vema kufahamu personality yako ili ikusaidie upate personality ya mtu ambae mtaendana maana kutakuwa na kuelewana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…