Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Nilibadili number nadhani ndio tumepoteana... Maisha
Ndiyo maana sikupati tena, na kila nikija ofisini nashindwa kujieleza wakaniruhusu kuingia.
Nilibadili number nadhani ndio tumepoteana... Maisha
Una misimamo wewe!!!Wazoee tu watu wa JF na walimwengu kwa ujumla
Kila mtu ana namna yake anavyoona mtu....yupo atakayekuona mpole na yupo atakayekuona mkali,yupo atakayekuona wa kike na yupo atakayekuona wa kiume na kadhalika
The best thing about JF ni kwamba kadri watu wanchanganyikiwa kuhusu wewe ndio nzuri inakuwa kwako (kama huna interests na mambo mengine kama kutarajia kudate ama kumeet na mtu humu)
Atakayefikiria chochote kuhusu wewe let him/her be,huna haja ya kujielezea/kujitetea kwa yoyote humu
Sina vinasaba kabisa na hizi tuhuma zakoIko hivi ukitaka uepuke shida ambazo sio za lazima, ukipiga hiyo selfie, clear details then upload! Usiende mbio kama nyumbu kuvuka mto wenye mamba kwamba kilio cha wengi harusi, usije sema hukuambiwa.
Pangu Pakavu




Umekariri vidole vya Lulu diva vikoje??
Wanaume sio watu wa mchezo mchezo
Mma gwee ntaharibu hali ya hewamma ulintungulu ugwe tuma ata ka mguu tuone
Ndiyo maana sikupati tena, na kila nikija ofisini nashindwa kujieleza wakaniruhusu kuingia.
Mbona mimi huji ofisini kwangu kunitafuta?? Huu ubaguzi Don
Umefoji hii sio wewe.. Tupia picha yako halisi uone inavyonigesha madaMimi Huyo View attachment 1218760
Dah kweli, acha basi please, I love you hahahahaMimi nimeshakujua sasa tunaanzia tulipoishia kipindi kile au tunaanza upya? Ila punguza mikwara aisee
Acha kuniharibia, huyu tulikuwa jirani ofisi. Sasa toka nitoke nitaa ile simpati hata kwa simu.
Halafu nataka mwaka kesho niende naye kupanda mlima Kilimanjaro.
Dah kweli, acha basi please, I love you hahahaha
Kwani kunatabu kusema nionavyo?Sina vinasaba kabisa na hizi tuhuma zako![]()