amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Katupia picha ni mdada sasa ndo mtu akamchana kuwa comments zake zimekaa kibabe babe sana si zakike.
Kwani Cappuccino ni wa kike ama wa kiume?
Ila huku kujua jinsia ya mtu ni ngumu kama hajatumia jina la kuonesha jinsia yake,ama labda ufatilie comments zake


