Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,775
ππππkhaaadah we hapana,unaishi wapi? Mbn mtata hivyo
wadada humu,mnaonekana ni watata sanaUshuhuda wako unanichekesha sanaππ
Pisi za hivi huwa tamudah we hapana,unaishi wapi? Mbn mtata hivyo
hahahaaaa wewe utakua huna shida hata humu tu unaonekana!!hahahaha,nilitaka nije kusalimia pm,ila basi kumbe uko hivyo
hongera sana!Ok ni vizuri binafsi mimi sifungi pm kwa kiumbe mmoja au wawili never tena asiyenijua wala kunifaham
Wala sio utata kuna watu huwa wanachukulia kila mtu poa yaani hata kama sio mkorofi ata sababisha ujifunze.wadada humu,mnaonekana ni watata sana
Duh!! Usitufanyie hivyo [emoji2]Tena akiwa model asiwe husna Grace Pili au Mary Joyce[emoji119]
hahahahaha,mimi mdada mtata atanionea tuhahahaaaa wewe utakua huna shida hata humu tu unaonekana!!
Kwa nini? Wewe una kaupole ndani yako??hahahahaha,mimi mdada mtata atanionea tu
Njoo babangu njoo tu usogopeπ€£π€£π€£π€£π€£!hahahahaha,mimi mdada mtata atanionea tu
πππhapanawadada humu,mnaonekana ni watata sana
hahahahaha,cjawahi kuonja hivyo siwezi kujua,we umejuaje mkuu huwa tamu?Pisi za hivi huwa tamu
hahahahaha,dah,ndo utata wenyewe huoπππhapana
Tuna save kulingana na bei
Utakavyokuja ndo utakavyopokelewaππΆπΆ
Hahahhaha!! unanifurahishaga sana wee mbaba!hahahahaha,cjawahi kuonja hivyo siwezi kujua,we umejuaje mkuu huwa tamu?
Nimepiga piga vya hivyo ukikuta kame amua kukupa eeh hatari tupu kalivyo katata huku na sita kwa sita hivyo hivyo vina magame flani hivi amazing ukionja hutokihahahahaha,cjawahi kuonja hivyo siwezi kujua,we umejuaje mkuu huwa tamu?
Hili chozi nimelidaka mkuuπ¬π₯²π₯²
πππHili chozi nimelidaka mkuuπ¬
πππ Mie kijana, Mwanaume nguvu bado ipo nifanyaje sasaWewe unaonekana ki kichomi sana wewe! Nimehisi tu lakini!!
Mzima rafiki, hope uko poa sana. Hata hivyo ile story bado naisubiria...[emoji23][emoji23][emoji23]
Eroni, mzima wewe??
Nguvu ipi???? Kwani kuna kupigana π€£π€£π€£π€£π€£ππ!!πππ Mie kijana, Mwanaume nguvu bado ipo nifanyaje sasa