Mimi nimewahi kumuignore mtu maana alikuwa anacomment pumba.
Ila mtu akiniuzi sim ignore nitakula naye sahani moja.
Wengine wanahamia pm kunitukana, nakula nao sahani moja hadi wenyewe inabidi wani ignore maana hata mwezi ukipita nikikumbuka tu nalianzisha upya hata kama walishaacha. Yaani nikiboeka tu naendelea pale pale tulipo ishia.