Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanajidai wanafunzi ila hakuna, kuna mmoja nilimkutaga sikuwa nataka kwenda kumla, akaniletea mbwembwe sijui kasoma Law mzumbe na bra bra nikaanza tema yai akapoteana nikaona chenga hii hakuna mzumbe wala law hapa.. wanafunzi hawezi jianika vile
Ah sahihi
Ooh inasikitisha eeh
Wanachafua image ya chuo hasa wanafunzi
Wanatumia chaka hilo kudanganya hapo

Ah unamuuliza Prof Binamungu bado yupo pale anabaki kushangaa tu
 
Hiki kitu naweza pata wapi kwa dsm?
Screenshot_20220605-150445.jpg
 
Back
Top Bottom