Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,347
- 17,671



Hii chakula yetu wajapani
Eeh kweli wewe mjapaniHii chakula yetu wajapani
Ni kitamu sana
Morning best friendEeh kweli wewe mjapani
Morning kwako
Mimi nimeamka salama mremboAh kweli rafiki
Jina lipo kijapani kabisa
Vipi mzima wewe ?
Sina picha mpya kwa sasa
Ooh okayMimi nimeamka salama mrembo
Nimetania tuu rafiki
Ila napenda tu asili yao hao watu wafupi
Ooh okay
Si mbaya hakika ni jambo jema
hata ya zamani.weka then deleteAh kweli rafiki
Jina lipo kijapani kabisa
Vipi mzima wewe ?
Sina picha mpya kwa sasa
Amen !! Thank youNaomba nikutakie asubuhi njema rafiki yangu kipenzi @Tisnley
Mwenyezi Mungu akaiongoze siku yako ikawe njema na abariki kila ulifanyalo ulifanye kwa mapenzi yake mema na likawe lenye baraka..

Morninghata ya zamani.weka then delete
Umeamkaje leo ?Jambo tanzania
jambo selfika
hahahahaha,hivyo hivyo muhimu pichaMorning
Anza na yako kwanza
Camera yangu inanitoa vibaya huyo
Jambo bossJambo tanzania
jambo selfika
eeh nashukuru mungu leo niko vzr rafiki.nimeanza shughuli ndogo ndogoUmeamkaje leo ?