Selfika na JF: Snap it. Show it

Ivi inakuwaje unae jiita mwanaume ( for me huyo sio mwanaume hana tofauti na dada zake au Elton John ), Unakaa unamshumbulia mwanamke na kumtumia mwanamke watu wamshambulie, kumnyima raha, kwanini umfanye mtu mlie lala nae kitanda kimoja awe mnyonge kwani umdhalilishe ? Unapata faida gani kumdhalilisha mwanamke na kumfanye awe mnyonge kisa unajiona mwanaume au unaona unajua udhaifu wake 😬😬😬 Huo sio uanaume ni ushoga narudia tena ni shoga ... Mwanaume yoyote harisi hafanyi hayo wanaume Harisi tunawalinda wanamke, tunawaheshimu hatuwafanyi kuwa wanyonge haijalishi kuna nini na kilitokea nini .. Mwanamke ni Mama, Mwanamke ni shamba, mwanamke anaweza kukufungia baraka kamwe usitoboe maisha yako na Mungu akawa hana la kufanya
 
Unawajua wanawake vizur lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…