Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Namshukuru Mungu kwa kuongeza mwaka mwingine [emoji1380][emoji1380][emoji1380]
Asante rafiki yangu wa jf kwa kuniletea zawadi sijui nikutaje au basi[emoji16][emoji16]
Allah Azidi kukuongoza na kukubariki wewe pamoja na vizazi vyako vyote. Tena Akujalie miaka mingi yenye heri na neema leo na wakati wote.

Happy Birthday Mpendwa [emoji1545][emoji1545]
 
Dark mode
IMG-20211018-WA0000.jpeg
 
Back
Top Bottom