T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,926
- 30,064
Habari ya leo njema/salama kabisaPoa Mkuu
Habari ya leo ?
Habari ya leo njema/salama kabisaPoa Mkuu
Habari ya leo ?
Ooh vyemaHabari ya leo njema/salama kabisa
Ni kweli mkuu, mie mkarimu sanaaa, we si unanielewa?Inabidi umkaribishe mkuu anahitaji ukarimu 😅😅
Thank youAMINA
Karibu
100% roho safi, roho nyeupe inayojua kujali yenye utu na heshima. Mgeni yupo kwa mikono salamaNi kweli mkuu, mie mkarimu sanaaa, we si unanielewa?
Hapa amani kabisa kamanda wangu! Hapo ziwani mnasemajeFresh kabisa mkuu
Habari ya pande hizo
Leo ujiandae Nimeagiza boza zima la maji tutakuwagia hadi ukomeee😬😬😬😬Namshukuru Mungu kwa kuongeza mwaka mwingine 💃🏼💃🏼💃🏼
Asante rafiki yangu wa jf kwa kuniletea zawadi sijui nikutaje au basi😁😁
Akhsante sana mpendwa ubarikiwe mnoThank you
Nakuandalia maandalizi mema ya sabato
Happy Sabbath
Shukrani

Hapa ziwani fresh/amani kabisa mkuuHapa amani kabisa kamanda wangu! Hapo ziwani mnasemaje
Asante sana mpendwa wangu🥰🙏🏽Heri ya siku yako ya kuzaliwa mpendwa
Na mimi nina zawadi yako
Asante dear ex baba kijacho😁😍Leo ujiandae Nimeagiza boza zima la maji tutakuwagia hadi ukomeee😬😬😬😬
Kheri ya kuzaliwa mtoto mzuri🥸
😍🙏🏽Asante kipenziHappiest birthday
Zawadi yako mama kijachoo nimemtuma boda boda wako, alafu huyo boda boda nime mkanyaaa asiwe na mazoea nitamuuaaa 😬😬😬Asante dear ex baba kijacho😁😍
😍🙏🏽Happy birthday mkuu
Dear ex unajali sana nashukuru kwa hilo au nirudishe majeshi kwako una nishawishi ujue😁😁😍Zawadi yako mama kijachoo nimemtuma boda boda wako, alafu huyo boda boda nime mkanyaaa asiwe na mazoea nitamuuaaa 😬😬😬View attachment 2249531
wewe tena roho yangu na pumzi yangu.. vinguo vya mtoto wetu vya kuchezea shule😅😅😅Dear ex unajali sana nashukuru kwa hilo au nirudishe majeshi kwako una nishawishi ujue😁😁😍