Nani?Anataka kufanana na wewe
Daah nime scroll page almost mia mbili nikitegemea angalau ntakutana na guu la bia njiani nakutana na hii picha mbuzi wapo malishoni wanakula hii ni haki kweli walimwengu
Yani hicho chombo kimoja nacho wahitaji msaada? Acha uvivu mpendwa πππAcha uchokozi nimeashwa vibaya sana njoo unisaidie kuosha vyombo nipo home alone.View attachment 1252945
Yani hicho chombo kimoja nacho wahitaji msaada? Acha uvivu mpendwa πππAcha uchokozi nimeashwa vibaya sana njoo unisaidie kuosha vyombo nipo home alone.View attachment 1252945
Abee
KakΓ‘ ebu changamka bwana
ππππ pole Dada lakini nawe ulikuwa wapi jamaniIludishe ile picha uliyofuta Wapendwa mnaharibu uzi aiseee.
Woyoooooooo
Hutuangushi jirani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo za zawadi sasa ninavyopenda [emoji847]
Ujue uzi unanichosha hapo why huwa mnafuta picha Wapendwa naomba nitumie piemuni.ππππ pole Dada lakini nawe ulikuwa wapi jamani
Waoooh'..!!
Acha kuniita mvivu mkono unaniuma huoni sufuria kubwa lina ukoko wa ugali siyo rahisi.Yani hicho chombo kimoja nacho wahitaji msaada? Acha uvivu mpendwa πππ
Daah nime scroll page almost mia mbili nikitegemea angalau ntakutana na guu la bia njiani nakutana na hii picha mbuzi wapo malishoni wanakula hii ni haki kweli walimwengu
[emoji125][emoji125] na sirudi tena huku
Haya nimeacha, ila kwa kuwa ulikula mwenyewe basi na vyombo vyako uoshe mwenyewe πAcha kuniita mvivu mkono unaniuma huoni sufuria kubwa lina ukoko wa ugali siyo rahisi.