Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi kwenda jeshi after six kuna umuhimu gani?
Na ukipotezea kuna hasara gani?

Haka katoto ketu hapa kamegoma kabisa aisee..
Eeeh dogo kaniambia sister post za jkt zimetoka

Nikamuuliza umepangiwa wapi??

Kanijibu,sitaki hata kujua,maana sina mpango.

Na hakuna kwenda amalizie course apate cheti,

course yake aliyoiachaga msimu wa corona.
 
cocastic aje atupe habari za huko ndichi…

Huyu wa kwetu najua amekataa sababu ya nywele zake, kanaogopa kukata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…