Msg zilikua zimejaa makasiriko, pole yakeπ€£π€£
πππππ nimecheka hadi nimehisi mbavu imefanya β kweeeeeWatu wana stress za maisha shoga, we chezea kufichwa fichwa ka bangiπ€£π€£π€£π€£π€£
Kula si ndio tunaitafuta huku mtandaoni, tusipopost tutapata vipi wateja jameniπ
Uwiii _King nisamehe hii ya mwishoπ€π€π€
Akatafute chaka la kufiaMsg zilikua zimejaa makasiriko, pole yakeπ€£π€£
Umeshindwa kabisaa umekubali kushindwaa π π π ππππππ nimecheka hadi nimehisi mbavu imefanya β kweeeee
Ila kanataka kutupa tu dhambi!!
Mxiieeewwwww
My friend L⦠bye!
Nimeambiwa nitoke hapa!!
UmependezaMiss you fellazView attachment 2246011
ayaaaa umepoteza pambanoo kizembeee π π π π πAkatafute chaka la kufia
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Umbeya ume7bisha nisimalize kazi ππ
Akishindwa atupe CV tumsaidiee, kambuzi kale.. na ilo ndiyo kubwa linalomuumiza anabaki kuhaha pasi na sababu.
Kakija sasa jukwaani!! Ni nyoroo nyingi
Hasiraaa 7bu kalimalizwa uchochoroni ππ
Kalikuta file la ubongo wa nyuma limetulia π ππ
Ila hivi venye leo nimetibukwa!! Pm pasingetosha, tungejikuta tumemwagikia kwenye jukwaaa π€£π
Hujanipeleka hapa jamani, ni niniπππLenie unajua hii ni nini ?View attachment 2246017
Hii ni asali, pembeni, kuna tangawizi, kuna remon, kuna unga flani unajina gumu gumu yaani π₯π₯π₯...Hujanipeleka hapa jamani, ni niniπππ
Nipe connection ya anae toa mzigo kichocoroni huwa vinanoga nikajaribu bahati na mie ππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Uchochoroni kunauma shoga af wenzako wababebishwa kwenye hadhara, lazima upate msongo wa mawazo.
Ushafika [emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]Chambaneni bhasi[emoji848]
Kame this way my Lenie ... ππ
Miss buza ajitokeze aje achambane asitunyime utamu.Mie natamani kumjua miss buza tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Karibu tena bro. Za kupotea? Joy na mamake hawajambo?Miss you fellazView attachment 2246011