😂😂😂 hii mpk 11 sitoboi, naibeba naenda malizia home…
Hiyo unaijua bana…. Mzizi ni zile msg zake za PM 😂😂 mwingine mie ananidakia wapi? Labda aungane na kale ka Pm
Ila wadada sisi nini shida? Huu ujinga mwisho wake wapi?
Mie kale kasakata lile soft jibu nilimpa ndio basi.. sijihusishi tenaaaaa
The shit is beyond my boundaries!! Khaaaa
Ila humu wadada wawe makini…
Wakizembea ni watagombanishwaa hatari na hao machawa wanaochawiana wenyewe kwa wenyewe…