Selfika na JF: Snap it. Show it

Na tulivyo wanafki, ni busy kuscreen shot na kuitana. Tuache kuendekeza mabifu yasiyo na vichwa wala miguu. Ukiachwa achika; ukiacha achilia kweli. [emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Wauweeeeeeeeeeeeeh,. Weraaaaaah.
Sema mama malezi.
 
Yaani baby humu ni balaaπŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio maana nakua busy na yangu tunapeana good music na _King full burudani no stress.
Maana nina allergy na -vibes, siziwezi zinipitie kushoto tu.

Shida inakuja pale mtu anajifanya anakujua kuliko unavyojijuaπŸ˜‚
Basi anahangaika akujue hadi anasahau kula vizuri maskinπŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu mnooo, ila JF jomoneeeeeh, full burudaaan.
 

Kama mnamuona mtu mchonganishi; achaneni nako, kapambane na hali yake au siku muungane mkape tu za uso. Kasiwachonganishe mnagombana kisa ujinga afu kenyewe kanaangalia tu movie kanacheka. Muwe Smart
 
🀣🀣🀣 nakwambia hiviii

Ni kupuu apuuu kuku, akipuu bata kahara..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…