Selfika na JF: Snap it. Show it

Weeeh likinikuta mtapita kimya kimya kulike komenti za kuninanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!
Jf hiii naielewa vizuri...yani vizuri mnoo!!
Tunakujaga kutoa pole na kureport mwishoni, movie ikiwa imeshaisha, tumeshaenjoy ubuyu na shots juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujafanya kitu; ila kuwa na tahadhari. Fanya yako, funga mdomo sijui mikono yako ya ku-type. "Mambo ya watu, waachie wenyewe".
Aweee
Sijui hata nataka kuandika nini…

Anyway
Mwenye masikio na asikie.. kwa kweli

Ila nyie machawa mnaochawiana yatakuja kuwashinda vibaya 😂😂..
 

Ewaaaaaaaaaaaaaaa umemaliza yote.

Ngoja nitafute picha niselfike sasa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aweee
Sijui hata nataka kuandika nini…

Anyway
Mwenye masikio na asikie.. kwa kweli

Ila nyie machawa mnaochawiana yatakuja kuwashinda vibaya 😂😂..
Em andika basi binti Abby.

Wanatusemaga tu, wanawake hatupendani; ngoja leo tuambiane ukweli. Sio watu wanakuchezesha ngoma zao afu mdundo unazimikia kwako
 
Lenie
Ile Pm tunaingiza kundi gani?

Ila watu humu sijui wakoje…Kwani mtu ukimind business zako utapungukiwa nini?
😂😂😂😂 ni choko mchokoe pweza, jichanganye wakudake. 😂😂😂😂😂

Ila nini unafki na uendelee au sio!

Tutapita tutalike tutazima data tunakuwa out of Jf na maisha mengine.. haidhuru
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cna, lol
 
Kumbe yapo mengi eeh?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe yapo mengi eeh?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza madogo? Ngoja siku yalipuke mbna JF itasimama hii, na kila nikisoma mchezo, shouga angu hatoboi, anapigwa KO asubuh tyuuuh.

Hana uwezo wa kubattle, na upolee wakee huu sasa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Em andika basi binti Abby.

Wanatusemaga tu, wanawake hatupendani; ngoja leo tuambiane ukweli. Sio watu wanakuchezesha ngoma zao afu mdundo unazimikia kwako
Tunapendana once..
Ila tukishaonyesheana rangi za unafki basi mambo yote tafraniiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…