Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
haina kabayaaa totooo zuri 😍😍😍Si ndioooo😊😋😋
Utanipa location mida ikifika nije chaap
haina kabayaaa totooo zuri 😍😍😍Si ndioooo😊😋😋
Utanipa location mida ikifika nije chaap
Hongera sana
Hiyo nimetanguliza kishika uchumba maana nimesikia minong'ono jimbo liko wazi![]()


kishika uchumba



Fungua pm fungua pm chap😅😅Sitaki km hapa, mie kwa kuweka unapajua.
Mimi camera yangu inatumia bando rafikiUmemisika sana sana rafiki yangu
Selfika japo kidole basi
Mie za humu ndo hata sijisumbuagi, watu wako kmya wanapita nayo km ilivyokuja.Ndio shos wamepita nayo juu juu kha!








🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mahondaw
Shouzzzz angu nimekumic mnooo, jana nimeota mrashia anakuchapa risasi, wallah hivi, had nkaamka kukemea,
Vipi uko poaaa? Hebu sema neno niwe na aman shouga angu,![]()
Tayari.Fungua pm fungua pm chap![]()
Basi kaa hapa kwa kutulia usitikise hata jicho mzigo unashuka hapa hapaMimi camera yangu inatumia bando rafiki
Sawa ndugu yangu usijaliiUkiona mamvo kama haya uwe unanishtua ndugu yako
Tatizo kila mtu anatumbua macho ngoja nikomaeBasi kaa hapa kwa kutulia usitikise hata jicho mzigo unashuka hapa hapa
Huyu mjomba hachelewi kupindua meza huyu🤣🤣🤣
Hahahaaaa!!!Huyu mjomba hachelewi kupindua meza huyu🤣🤣🤣
Selfika na halotelTatizo kila mtu anatumbua macho ngoja nikomae
Oooohhhpppsss nna aman, km uko poaaa shouga angu.![]()
Weeee hizo ndoto na zikomeeee zishendweeeeeeee kabisa!!!
Mie niko vyedi kabisa shos angu relax!!
Napokea mahari ya Christine1_King kazi kwako mkuu
Fursa zipo leo😅
Wajuba nuksi sana halafu hata hawajisumbui kuomba sasa wanategea tu kimya kimya!!






hawataki kujulikana.