Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Acha kuwasanuaWadogo zangu Jitahidi mnase penyewe sasa katika uhalisia mambo ni tofauti kabisa!!
Ukoje
Acha kuwasanuaWadogo zangu Jitahidi mnase penyewe sasa katika uhalisia mambo ni tofauti kabisa!!
Love alafu awe na uwezo wa kukutunza utafurahia maisha
Ila pesa ianze hapa zinazoumia sehemu za siriwatu wanahela alafu wanazidiana yaani utalala yoo
![]()


😁😁😁😁Huhuhuhuh ana mwili wa kichokozi woiiiih mpe salamu.
Ewaaaaaah, muambie kuna mtu somewhere anakusalimia sana.
Will tell him![]()
NdyooooooKisha
Nje Ndani
Zinafuata
😂😂😂Umenishinda TabiaYaan linazama myuuuuuuuuuh,
Mr vocha mzimMmeamkaje leo wakuu?
Amkeni tuselfike

Mr vocha mzimMmeamkaje leo wakuu?
Amkeni tuselfike

Kaa hapa usiondokeSelfika basi mr vocha sijakuona kitambo mkuu!!
Usiondoke vuta subira shangazi mambo ni bam bamMr vocha mzim
Nije hapa saangapi Mambo yatakuwa hewani![]()
Leo tulieni naweka vocha za buku ten ten tu hapaaa 😁😁😁Nipo hapa mr vocha!
Labda uone mzuzu tu shangaziii yangu 😁😁😁😁 ila nafurahi kusikia upo vyedaaaa sana natumai hata kina junia wapo safii kabisaNipo hapa naisubiria kwa hamu mjomba nafurahi kusikia u bukheri wa afya mjomba!! Mie pia nipo vyedi sana anko!!
Sijakuona kitambo mjomba!!
😎😎😎😎 Nimetoka kula kitimoto hayo mafuta ya kitimoto tu kwenye lipsNdio Ndio nafurahi kukuona mjomba ila fanya namna uchonge huo uchebe mjomba lips hizo 😜!!✌️✌️
Umependeza sanaaa Shangazi yangu 😍😍😍😍😍Muwe na siku njema wapendwa!!
View attachment 2245318