Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ulichagua mwenyew[emoji1][emoji1]
Km nakuona vile[emoji1]
Staili nilioitaka sijui msusi alikua haijui Akasema hii ni nzuri itakupendeza dada venye hawaachaji hela kuja kumaliza yyesssuuuuu!!
Nafumuaa mie!!
 
Unae mpostig hapa yule, had tsup yake?
Bas weka picha yake, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ohhhhhhh....Idris 😉😉 Huwa hata sikumbukagi kuwa they were an item once. Ila sio yeye, this dude ana mwili zaidi ya Idriss.
Screenshot_20220531-000120_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom