CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Ukienda hospitali ukapima uzito na urefu ndo wanaweza kukwambia your bmi,, chukua uzito (kg) wako gawanya kwa urefu, wako (m²)Mkuu hii lugha ilikuja na meli,hebu uliza kwa kiswahili[emoji23]sijaelewa
Ooh sahihiLakini kupungua kwa kiasi kikubwa kwa muda mfupi si nzuri kiafya.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] aunt umepatwa na nn?Kilamtu awe natako si mtavunja shingo kugeukia ndo maana tukawepo sie mnapat mda wa kupumzika [emoji23][emoji23]
Yes yesLakini kupungua kwa kiasi kikubwa kwa muda mfupi si nzuri kiafya.
Kwan usiwe nae sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miss u more shoo....
Ninae wa kunificha basi,[emoji85][emoji16]
Anatutetea tusio na traaaako[emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] aunt umepatwa na nn?
Ooh App haikusumbui sasaAsante dear
Poa shooo....
Jmn nilipotea,nimerudi
Weraaaaaah weraaaah,Chat na picha!!
View attachment 2244849Muda Wa kupumzisha fuvu sasa!
Sijui wananiogopa[emoji16]Kwan usiwe nae sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inazingua bado!Ooh App haikusumbui sasa
I'm glad you are back [emoji7]
Kungwi wetu huyo [emoji7]Kwan usiwe nae sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka sahivi aunt.Ndo nishaweka
Ukichelewa huikuti
Ah mimi naitumia hivyo hivyoInazingua bado!
Unless nitumie chrome!
Ndio vinini hivi kwani!! !! Namie nataka kupunguza kitambi asee!Planks, Russian twist,, na pull ups plus fasting ni fasta mno
Ooohhhpppsss!! Ila fresh tyuuhNakunywa kidg tu mpenz
Aah kumbe ulimaanisha hivi!Ukienda hospitali ukapima uzito na urefu ndo wanaweza kukwambia your bmi,, chukua uzito (kg) wako gawanya kwa urefu, wako (m²)
Mkuu hii process ya fasting ni kufanya mwili kutumia source ya energy ingine ambayo ni fats za mwili zilizo zadi,, (ketosis), and it's healthy,, so instead of mwili kutumia glycogen,,, unazokula mwili una shift to lipids ambazo ni excess glycogen stored in the body for future useLakini kupungua kwa kiasi kikubwa kwa muda mfupi si nzuri kiafya.
[emoji23][emoji23]eti fuvu jmn
U luk good[emoji8]
Ah thank youPlanks, Russian twist,, na pull ups plus fasting ni fasta mno
Shos usinijaze basi 😉Weraaaaaah weraaaah,
Traaaaakoooooo la kuombea mkopo TPB bank. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]