Food cravings hasa siku 4 za kwanza ndo huwa zinakatisha watu tamaa,, kichefuchefu, kichwa kuuma, concentration inashuka hzo zote ni symptoms za kitu kinaitwa keto flu,,huwa inafikia peak siku ya 3 au 4,, ukishinda hapo food cravings hutapata tena

Ukishinda wiki ya kwanza ndo imetoka hyoo utaona ni kama maisha ya kawaida,, na ukawa unafanya cardio exercises total ya 180 minutes per week,, mwili huo unaisha,, shida ni maintainance ya huo mwili