Vishapoa nataka niende hospital nyinginePole sana dada ake sikuwa najua kumbe ulikuwa unaugulia maumivu pole sana MWENYEZI MUNGU atasaidia utapona usijari dada ake[emoji120][emoji17][emoji17]
PolesanaVishapoa nataka niende hospital nyingine
Uliweka?Ehee Pete ya ndoa Mkuu..!
ya Sura subiri hapo hapo Mkuu itakuja tu
Halla MadridSasa wakae kwa kutulia, Europa kuna champion mmoja tu....anajulikana!
Duuh pole mkemiaVishapoa nataka niende hospital nyingine
Duuh pole mkemia
Na ndo naamka saiv[emoji43] Hala madridWenzio tulirudi saa 6
We vipi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla haujapoa vzuri unashtukia bakuli limeisha ππππNjoo umpoozee princess uji Lenie View attachment 2243183
Heheee ndio ma aunt hao wanaoachiwa watoto π€£π€£Kabla haujapoa vzuri unashtukia bakuli limeisha ππππ
Ahsante. Hujambo mdogo angu?@Heaven Sent mic u
Tena ukute katoto kanaleta pozi kula, aah nitakasaidia mbonaπππHeheee ndio ma aunt hao wanaoachiwa watoto π€£π€£
Sun kissed π
πππ sasa kasiposhiba kwa hizo pose zake si utakaesumbuka bado ni wewe.Tena ukute katoto kanaleta pozi kula, aah nitakasaidia mbonaπππ
Bora kawe kanalilia kenyew msosi
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6] mama malezi.Sunday....View attachment 2243190
Ndio hapo hua vinasumbua hivi vitotoπππ sasa kasiposhiba kwa hizo pose zake si utakaesumbuka bado ni wewe.
Kakianza kulia lia bila sababu, kumbe kana njaa
Mremboooh, [emoji8][emoji8][emoji8]