Selfika na JF: Snap it. Show it

Sleep well 😊
 
Eeh alikuwa anaandika ovyo sana
Mpaka sisi wengine tunaumia ..Simba ikishindwa tu huyo na tweet zake .
Anapenda mitandao huyu mbaba mpaka tiktok yupo
leo ndo amejua umuhimu wa kuchukua wachezaji wenye viwango, ubakhili sana huyu baba, yaan kanikera leo, sema tyuuh Record zinatubeba bado tuna tamba, vinginevyo leo tungekoma mtaaani.

Afanye usajiri wa maana. Tunataka msimu ujao hadi kombe la kuku tunyanyue kwapa.
 
labda kombe la kuku wa mabua au cha kunywea maji
 

Ah kwa kweli leo wameona umuhimu wa kuwa na striker pale msimbazi .
Hakika msimu ujao mambo yatakuwa mazuri zaidi tusubirie vitu vizuri .

Yeah Simba imepata mafanikio kwa miaka basi tunaringia hicho .. na pia tuna vibe hao wana msimbazi .

Ah lazima msimu ujao turudishe ushindi nyumbani ..
 
Mwakani lazima furaha na burudani irudi msimbazi, wana jangwan wameshinda lakini hawana furaha kabisa, wakikumbuka record wanabaki kuwa wapolee,


Naamini Boss atafanya maajabu ya usajiri huyu mwaka. Wacha tusubiri.
 

Ah wana Simba hatuna shughuli ndogo kabisa
Tuna vibe hao
.

Ah ngoja tusubiri tuone usajili utakuwaje next season.
 
Hahahha bora alivyonyamaza tu
Yasije kumpata kama yule dada


Ah Simba noma
Tutarudi tukiwa vizuri .
mashabiki wa Yanga huwa hawanisumbui kabisaa, tena wanakaa kwa kutulia, maana hawana cha kuniambia,

Na huwa nawaambia wakitaka waongee lugha 1 na mie, wafike ¼ final Champions league mara 2, na confederation cup mara 1.

Vinginevyo wakae chini na kuangalia wapi wanakwama, na wana vitu vya kujifunza kutoka kwa Simba.
 

Ah hapo unawapatia aisee , unatuwakilisha vyema
Simba ndo babalao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…