Selfika na JF: Snap it. Show it

Hujawahi kuona na mikono yetu ilivyo na vigimbi?


Kwa hiyo tukuandalie na unga wa ugali; matoke na wali hushibi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ugali Mama Mchungaji...

Matoke sijui wali hizo ni appetizer tu lakini main course ni ugali....

Itanoga zaidi ugali ukiwa mgumu kama jiwe.

Thenki yu fo yua kaindinesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…