Selfika na JF: Snap it. Show it

Ona kwa mfano. Mkwepu Jr ndo anabisha hodi sasa hivi baada ya masaa 7. Mtu anaweza kukutag, kukukwoti au kukuita mahali akadhani umemuiginoa kumbe notification haijakufikia. Hovyo tu.....
 
Ona kwa mfano. Mkwepu Jr ndo anabisha hodi sasa hivi baada ya masaa 7. Mtu anaweza kukutag, kukukwoti au kukuita mahali akadhani umemuiginoa kumbe notification haijakufikia. Hovyo tu.....View attachment 2240980
Kwanza kama mkwepu amepitisha likes nyigi..huwezi kuziona zote.

Sasa kimbembe ni waliokutag kabla ya likes za mkwepu.
Notifications zao zinafunikwa kabisa na wala huwezi kuziona.
Wamelimit idadi ya notifications wakati browser unaweza kuona notifications hadi za mwezi uliopita.
Huku Kwenye App za wiki iliyopita tu huzipati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…