Samahani km nimekukwaza Mr, kutoka ndani ya moyo wangu naomba unisamehe, najua nimekosea na haijawa sahihi kwa jinsi nilivyo react, plz naomba nisamehe.
Ila jaman msivuke mipaka ktk kunizungumzia, hata mie nakasirika na sometimes naumia, mapungufu na madhaifu yangu yasifanye mnidharau kupita kiasi, hata mkiwa mnani dharau sio lazima mnioneshe wazi wazi, kujitoa kwangu ufahamu hapa ndani sio ticket ya nyie mnikejeli na kunidharau hivyo, kuna muda nakua serious na nakua smart na upstairs kuliko mnavyodhani.
Naomba unisamehe Mr, na polee kwa kuondokewa na mzazi wako. Huyo.
Jah aendelee kumtunza na kumuhifadhi huko aliko.
Mwanga wa milele umuangazie daima, Ameeeeeeen!!!!!