Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,572
- 235,412
Yaani itoe bifu?Hahahaha nimecheka aisee
Umeeleza vyema kabisa
Kiukweli ina faida yake sema ndo hivyo ni dhambi ... Inaondoa kisirani na gubu , kuna muda unaweza jikuta unamchukia mtu kumbe ni hali hiyo tu .
Pia kunichekesha ovyo kwa ke inatokea
weeeeeeeehhh weeeeeeeehhh wwweeeeuuuuuweeeeeeeeeeeeeeeehhhhh!! ๐๐Piga kelele kwa m rashia ake, weuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaa hapa usitokeBado natoa macho ๐
Sawa babuu nimeelewa..Polepole mjukuu [emoji15]
NamhalaTinsley na upole wako huo kumbe na wewe umo eeh!? [emoji16][emoji16][emoji16]
Inaweza kusaidia kuondoa hormonal imbalances; na hii inaweza kuondoa vitatatizo hivyo vidogo vidogo. Pia ni tiba nzuri ya siteresi kwa sababu husaidia kupunguza cortisol (homoni ya siteresi) mwilini. Na bila stress immune system inakuwa nkonki na kuondolea mbali vitatizo hivi vidogo visivyo na kichwa wala miguu [emoji16][emoji16][emoji16]
๐๐ปโโ๏ธ wacha nitulie ๐Kaa hapa usitoke
Mtandao ynasumbua tuu
Sasa je, af tusumbuliwe pm๐Watatamania eeh ๐ ๐ ๐
๐๐ปโโ๏ธ wacha nitulie ๐Kaa hapa usitoke
Mtandao ynasumbua tuu
Ooh thanksThubutuu
Uwe mpole
Hivyo hivyo
Hata siku nikikuona
Nifurahi
Kipengele hicho[emoji849]Nipo kaka chuchunge.
Naomba lift tar 3 nataka niende Dom
๐ ๐ ๐ ๐ ๐๐๐๐Sasa je, af tusumbuliwe pm๐
Ahsanteeeeee ๐๐, Mungu akubariki ulipotoa bas akuzdshie.
Amin๐๐Ahsanteeeeee ๐๐, Mungu akubariki ulipotoa bas akuzdshie.
Ahsante nimeiwahi, nusu nivunjike miguu ๐๐Amin๐๐
Umeiwahi?
Hongera
Ah inawezekana kwa kiasi chakeYaani itoe bifu?
Haiwezekani
Ah wapi ๐๐๐Ah inawezekana kwa kiasi chake
Bifu yote kwishney ๐
Samahani km nimekukwaza Mr, kutoka ndani ya moyo wangu naomba unisamehe, najua nimekosea na haijawa sahihi kwa jinsi nilivyo react, plz naomba nisamehe.