Usijali mpendwa π¬Nasubiri hivi
Natembea sana aiseeHii kauli ya maisha yangu tayari mazoea tosha ndo inayofanya watu wazima wapate sana TIA na stroke saiv[emoji25]
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
[emoji847]Usijali mpendwa [emoji51]
Matumizi ya ndevu[emoji23]Weee tukufundishe nini mdogo wangu?? cocastic naomba muongozo pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
Eti mwendo mkaliNatembea sana aisee
Tena mwendo mkali.
[emoji38][emoji38][emoji110]Lenie kanikamata bagamoyoo [emoji16][emoji16][emoji16] tunatukaa tu priiii
nipo nyaka nyakaaa ila raha πππHamna namnaπ ππ
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
Afadhali nimeiwahi hiiπ₯°π₯°Aaaah inamana umenishika taitiiiiiii
Umenibana unanifanya kwako sikurupukiiiiiiπ€«πβ₯οΈ
View attachment 2239893
Sijui hata namuimbia nani walahi!!!π€·π€·
πππππ Dogo wa chini haamini macho yakeπΆ
Wanaume tumeumbwa (Mustafa Nanga) mateso, mateso
Kuangaika
Mwanamume unapopatwa na matatizo, macho hua mekundu
Kwa hasira, lakini katukatu usikate tamaa
Wanaume tumeumbwa (tumeubwa) mateso, mateso
Kuangaika
Ukipatwa na jambo usiende kwa waganga
Kwanza omba Mungu, akusaidie
Wanaume tumeumbwa (Nasibu) mateso, mateso
Kuangaika
Ukipatwa na jambo usiende kwa waganga
Kwanza omba Mungu, akusaidie
Wanaume tumeumbwa (Mwanagu, eeh) mateso, mateso
Kuangaika
Kuna moja umeikosa, ya washa motooo cheer hatari mzeee kidogo nianguke π πAfadhali nimeiwahi hiiπ₯°π₯°
Nitakua naimbiwa mimi tu hakuna mwingine πͺ
Hao wa kwa special clinic wana bei eeh
Weeeeeeehhh...jfππππππππ sitaki hata kuwasikia mie!!!!!Afadhali nimeiwahi hiiπ₯°π₯°
Nitakua naimbiwa mimi tu hakuna mwingine πͺ
Umempata mwenye ndevu mama Junia [emoji3]Matumizi ya ndevu[emoji23]
Jaman nipo buzzy somewhere hivi napata umbea. [emoji6][emoji6][emoji6]Cheka na maelezo shousss
Ohooo!!