ππππππ AhsanteeeYaani Bina unataka tukuachie zote mbili ujimwayemwaye nazoπ€£
NakaziaAbeeeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nafikiri watu wengi bado wana ule mtazamo kuwa walokole ni watu losers, waliojikatia tamaa, wapowapo tu. Ilhali siku hizi kuna vijana wanaojitambua (wenyewe tunasema wanaume wa maana) na wameamua tu kumtafuta Mungu kwa hiyari yao. Total package
Shkamoo Binaππππππ Ahsanteee
Marhabaaa MZIMAAAShkamoo Bina
Mungu ni mwema,Marhabaaa MZIMAAA
application kwenye simu yangu unasumbua Niki install Kila Niki log in Inakataa sometimes hapa nimengia kupitia browser na hua sipendi browser ndo maana najua kimyaMungu ni mwema,
Nilikumiss.
....na mbususu wanakula[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda wasio na hela..
Kuna namna vijana wanaokoka halafu wanabweteka tu,mtu muda wote anasali tu hafanyi kazi.
Mtu hata hajipendi yaani.
Vijana wa kilokole siku hizi ni magentlemen...muonekano wao unavuta,kazi wanafanya,maombi wanafanya.
Naamini wengi waliokuja na R vs L humu jf wamejifunza sana. Mara chache kuzisoma siku hizi."L" na "r" ni changamoto ya watu wengi sana including wasomi.
Oh pole binamu.Nipo dear
application kwenye simu yangu unasumbua Niki install Kila Niki log in Inakataa sometimes hapa nimengia kupitia browser na hua sipendi browser ndo maana najua kimya
Hapana.....na mbususu wanakula[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eee bwana we, mbususu tam jamani[emoji2089][emoji2089]Hapana.
Mungu amekataza uzinzi.
Tunajitajidi kuviacha Kwa msaada wake mwenyeweπEee bwana we, mbususu tam jamani[emoji2089][emoji2089]
Mungu kakataza vyote vinavyomchukiza. Kwa hiyo tujitahidi kuviacha vyote vinavyomchukiza.
Nisubiri hadi 35yrs ndio nionje, yaani ujana wote niutumie kunyanyua vyuma tu hadi nitakapooa?π€£π€£Tunajitajidi kuviacha Kwa msaada wake mwenyeweπ
Ni tamu,lakini iliwe Kwa utaratibu mzuri,,ihalalishwe.
Ondoa hiyo saa kwanza!!Komwe
Mrembo emoj kubwasana mama juniaKomwe
Tuendelee kumtazamia Bwana πOndoa hiyo saa kwanza!!
Nikipunguza emoj utakimbiaπMrembo emoj kubwasana mama junia
Mama Junia tuache nnTunajitajidi kuviacha Kwa msaada wake mwenyewe[emoji23]
Ni tamu,lakini iliwe Kwa utaratibu mzuri,,ihalalishwe.