Mkuu kaa hapa narusha airtel sasa hivi ujaribu bahati yako ndiyo utaamini
Watu wana copy wewe unasema unaingiza namba moja moja ooh 😅 fasta unatakiwa unakuwa kama jeshini wakisema nyuma geuka, mbele tembea aya ya aya aya😁


