Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Watakuombea; Bwana atakubadilisha, utaokoka mbele ya safarihahahaha.na km hajaokoka na yuko package inakuaje? Hahahaha wadada bana
Naitwa Anne[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23]
Anakuwa amefeli sasa.hahahaha.na km hajaokoka na yuko package inakuaje? Hahahaha wadada bana
Lazima tulisindikize basi kidogo kwa kukimbia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na stand jaman, mnaongozan wote had ndan ya bus anapokaa msafiri, mnapunga mikono gari ikiwa inaondoka.
Uliona nini kanisani?hahahaha.kumbe.ndo maana kn kanisa moja naendaga.ok umenifunza kitu
Lazima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na stand jaman, mnaongozan wote had ndan ya bus anapokaa msafiri, mnapunga mikono gari ikiwa inaondoka.
Aisee[emoji3]Usijali mamy japo kwenye nywele mfumuaji kanikomesha alikuwa anakata uz na kiwembe kanipunguza za usoni[emoji23][emoji23][emoji23]
YaaniKumbe una buku kumi tu[emoji1787][emoji1787]ukiingia sokoni hata hununui vya kueleweka.
Pesa ni Nouma sana!!hahahahaha.dah.aisee.pesa si mchezo
SanaFedheha mkuu!
hahahahaha.wanamuombea mkosefu sioWatakuombea; Bwana atakubadilisha, utaokoka mbele ya safari
Afu jana nimengoja muujiza ila wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
ooh sawa.hahahaha .nimekuelewaAnakuwa amefeli sasa.
Cha kwanza ni Yesu aliye ndani yake.
hahahahaPesa ni Nouma sana!!
Tutaomba na kufunga kwa ajili yako. Imagine binti analeta kamchumba pale hakajaokoka; Ile amefika tu anagonga "nitatoa mifuko 100 ya cements kwa awali". Weeeeehahahahaha.wanamuombea mkosefu sio
Jana bn nilikua tyt na zoom
hahahaha.msifanye mambo kuwa magumu.wengine tunaokokaga uzeeniTutaomba na kufunga kwa ajili yako. Imagine binti analeta kamchumba pale hakajaokoka; Ile amefika tu anagonga "nitatoa mifuko 100 ya cements kwa awali". Weeeee
Sawa ntakusibiri
Hahha Kwanza nasikia vijana waliokoka sio watamu(msije na povu nimeskia tu[emoji23]hahahaha.na km hajaokoka na yuko package inakuaje? Hahahaha wadada bana
Tumeelewa[emoji6]Ila coca hukubali kupitwa[emoji16]View attachment 2239185
hahahaha.anakuaje mtamu au mtundu na yy yesu yuko ndani yakeHahha Kwanza nasikia vijana waliokoka sio watamu(msije na povu nimeskia tu[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!!!Hahha Kwanza nasikia vijana waliokoka sio watamu(msije na povu nimeskia tu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni vibukubuku hivyo.
Huwa nachange ili zijae[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umasikini huu[emoji23]