Bwana asifiwe humu ndani..
Waliyoenda abudu natumai wametuombea na wengine tufike mwisho wa mwezi salama maana ndo kwanza tarehe 3 na tayari nishachacha!!