Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo nimejikuta natafakari sana kuhusu huyu mwanamama.
Roho ikaumia...simjui though

Ila Mungu wa Mbinguni amponye,amtunze.
Nikajikuta namuombea.View attachment 2238745

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Dada Halima, namfahamu vyema mnooo, had nlikua na no yake, sema nlipoteza, ni driver mzuri sana, sema siku ya tukio haikua bahati kwake, na ajari haina kinga. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Kapoteza mkono, nimelia sana yaam mie. JAH amponye na kumpa tumaini tena.
 
hufanani na beki tatu, kesho utachelewa kazini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akiyanani [emoji23][emoji119]


Au majina haya yanawatisha??ndio maana wengine hamtusapoti na vocha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna siku tutakuja kuzimia njaa hapa mjue watu tunasota mtaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mimi naandika tu humu michozi ishanitoka kitambo hadi nabanwa na mafua.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimepekua interviews zake kadhaa
Yaani nimejikuta naumia mno..
Ile picha imeniumiza mno.

Ila ashukuriwe Mungu amemuachia uhai.
Hilo ni la muhimu kuliko yote .
Na Yeye Mungu anajua namna gani atamtunza.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Oh kumbe ni dereva, inasikitisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watuache kabisaa,. Wengine bila madesa tungedharaurika mnooo.

Utaskia "usimuone hivyo wala usimdharau ana Elimu huyo" hapo sasa navimba mie nusu nipasuke. Woiiiiiiih
Mimi ndio siendanagi na kadegree kangu[emoji23]

Na nilivyo na mwili mdogo,na pigo zangu za kwa Mwamposa.
Ukinikuta nacheza na watoto ama nipo nafanya usafi church.
Utasema mtoto wa fom tuu

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…