Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,419
Mithali 30: 18 -19
19......Na mwendo wa mtu pamoja na msichana.
Mkuu ahsante sana π ubarikiwe.Sema Tusisahau neno : π π
Mithali 30: 18 -19
18 Kuna mambo matatu yaliyo ya ajabu kwangu, Naam, kuna manne nisiyoyafahamu.
19 Mwendo wa tai katika hewa; Na mwendo wa nyoka juu ya mwamba; Mwendo wa merikebu katikati ya bahari; Na mwendo wa mtu pamoja na msichana.
Ili awe mwanamke lazima awe na kimoja au vyote kati ya hvo viwili( mrembo na tabia njema)dah! Unareply neno hivo kweli mkuu?
Ndio huyo huyo bwana selemani , Wimbo ulio bora, mithali pamoja na muhubiriIla Sulemani bwana...Shujaa wa mabaharia alikuwa huyu mwamba
Hivi ndiye aliandika pia Wimbo Ulio Bora au huyo ni baharia mwingine?
π ππ Bila kusahahu msisitizoMkuu ahsante sana π ubarikiwe.
Ulinivia nitoke ndio uingie sawa tuu ππ#CentralPark
View attachment 2238220
π€£π€£π€£π€£Kama hana pport tutaenda zenji hapo tokatulie hotel verde na mrembo ..ebu vuta picha huyu Lizzy na kabody hako kapiga bathing suit....sii unaweza jipiga bao mwenyeweπ€£π€£π€£π€£π π π Huwezi ku fail mzabzab akishindwa mtihani wa kukupatia passport ndani ya masaa matatu hajakizi vigezo bado tena tunataka ile ya diplomat
ahsante sana mkuuPost M-alone na hizi ndio mitahali za Selemani π π π
29 Kuna watatu wenye mwendo wa kupendeza, Naam, wanne walio na mwendo mzuri.
30 Simba aliye hodari kupita wanyama wote; Wala hajiepushi na aliye yote;
31 Jimbi aendaye tambo; na beberu; Na mfalme ambaye haasiki.
32 Ikiwa umefanya kipumbavu kwa kujikuza; Au ikiwa umewaza mabaya; Basi weka mkono wako juu ya kinywa chako.
33 Kwa maana kupiga maziwa huleta siagi; Na kupiga pua hutokeza damu; kadhalika
Nashukuru sana mkuuπππ ππ Bila kusahahu msisitizo
2 Ni nini, mwanangu? Tena ni nini, mwana wa tumbo langu? Tena, ni nini mwana wa nadhiri zangu?
3 Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.
π π π π Kuna kupenda, Kuna kutamani, kuna kufurahia. Na sio lazima ukipenda kitu hadi ukifanye , ni sawa na wengine hapa tunapenda one day tununue Gulfstream hata ya mchongo ila naishia kuipenda tuuNashukuru sana mkuuππ
Mie character yangu naonekana napenda totoz, kitu ambacho ki uhalisia sipo hivyo.π.
Nilizinguana na genta Jana..nikawekwa kabatini nipumzike Kwa mida nipunguze preshaWe nae umefanyaje mpaka wamekuban? Satoh Hirosh
Au umekwiba avatar
PoleNilizinguana na genta Jana..nikawekwa kabatini nipumzike Kwa mida nipunguze presha