Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa kweli kwa hizi sifa anazokupa nipo njia panda.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nitakupa direction mkuu, usitoke hapo njia pandaaa.. akikutazama tuu ndio πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ unaweza baki baaa baaa sentensi isikamilike nae alivyo mjeshi unajuwa midomo inavyo zibwa kwa kidole kilisho saafi kimenyooka sio kama panga la fan πŸ˜…πŸ˜…
 
Hebu nambie mkuu huu ni utani wetu wa kila siku ama?
 
πŸ˜…πŸ˜… karibu kwenye mgahawa wetu wa chai upo karibia na Osterbay police.. weka appointment ya kuonana na Mkurugenzi wa Pesa ndio yeye hapo .. kila kitu kinaweza anzia hapo naamini huto niangusha kuleta ushuhuda
Mkuu ahsante sana πŸ™ , nitakuja tujumuike hapo.
 
Ahsante sana mkuu.
Sema Tusisahau neno : πŸ˜…πŸ˜…

Mithali 30: 18 -19

18 Kuna mambo matatu yaliyo ya ajabu kwangu, Naam, kuna manne nisiyoyafahamu.

19 Mwendo wa tai katika hewa; Na mwendo wa nyoka juu ya mwamba; Mwendo wa merikebu katikati ya bahari; Na mwendo wa mtu pamoja na msichana.
 
Post M-alone na hizi ndio mitahali za Selemani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

29 Kuna watatu wenye mwendo wa kupendeza, Naam, wanne walio na mwendo mzuri.

30 Simba aliye hodari kupita wanyama wote; Wala hajiepushi na aliye yote;

31 Jimbi aendaye tambo; na beberu; Na mfalme ambaye haasiki.

32 Ikiwa umefanya kipumbavu kwa kujikuza; Au ikiwa umewaza mabaya; Basi weka mkono wako juu ya kinywa chako.

33 Kwa maana kupiga maziwa huleta siagi; Na kupiga pua hutokeza damu; kadhalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…