Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Dah!Achana na mambo ya BMI ndugu yangu. Fanya mazoezi kwa afya, furahia maisha na uwapendao, epuka stress za rejareja Kisha kula ugali wa kutosha.
Utaambiwa usile hichi, acha hiki, lala masaa matatu, usivute sana pumzi, sijui kunywa supu ya maboga, wote tunakufa na miaka Ile Ile, hakuna anaeishi miaka 300. Hata hivyo unataka uende na mapafu safi huko tuendako unatarajia kuyauza?
Uzito wangu nachezea 65kg -70kg Kwa urefu wa 76 cm.
Kula ugali ng'wana wane.
Miguu najua inalala kwenye soksi. Si ajabu hata vidole navyo huwa vinalala kwenye gloves maana hata kwa kuviangalia tu yaani unaweza kuhisi ulaini wake....Choose day
Mkuu pete ya ndoa?
Mkono mashallah!
Tunasubir ya sura sasa.
Mbona kama umeshtuka?[emoji38]
Nikiwa peke yangu dark and ugly je? Mnicheke kha!Siku ya Wajomba Dark and Ugly ndiyo leo, sababisha basi kabla hatujawa busy
Vidole vya dhahabu nkamu[emoji173][emoji173]
Sina jinsi lazima zitoke tu maana mtiti wa huyu daktari si wa kitoto. Ila ugali siachi ng'o!Pambana na mazoezi na ulaji wa mpangilio zitoke hizo kilo
kwa mwezi ukiamua zinatoka kabisa
Aunt umeamkaje?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
hahahaha.mnavyowatia chaka sasa.wanajilipua tuSiku ya Wajomba Dark and Ugly ndiyo leo, sababisha basi kabla hatujawa busy
Miguu najua inalala kwenye soksi. Si ajabu hata vidole navyo huwa vinalala kwenye gloves maana hata kwa kuviangalia tu yaani unaweza kuhisi ulaini wake....
Ndo maana mwenzetu alijiwahi mapema kabisa. Nkamu yu a gojaziiii! [emoji91][emoji91][emoji91]
Tunamitazamo inayofanana sana kuhusu tunavyochukulia maisha. Asubuhi nakimbia kidogo natoka jasho, naingia kibaruani, jioni natembea sana ufukweni.Dah!
Nimecheka sana aisee kwa sababu ulichokisema ndiyo MO yangu hapa duniani. Huwa natumia karibu kila kitu kwa wastani isipokuwa tu nilivyojaribu vikanishinda na ambavyo najua kuwa vina madhara ya moja kwa moja.
Na huyu daktari siyo mara yangu ya kwanza kugombana naye. Yaani ukienda hata umeongeza kilo 5 tu unalooo utasemwa mpaka ukome. Sema tu nimetoka naye mbali sana na ameshaniokoa na scares kibao vinginevyo ningekuwa nshatemana naye.
Binafsi huwa nafanya vimazoezi na kula vizuri ninapoweza ili kuwa na afya na kujikinga na magonjwa haya yanayoweza kukwepwa kwa kubadili mfumo wa maisha mf. presha na kisukari. Mambo ya BMI na hizi vurugu zingine ni za huyu MD. Shwaini zake halafu!
Nitauzingatia ushauri wako na tarehe 30 June nitaleta mrejesho.
Wabeja (Asante) [emoji1545][emoji1545]
Sina jinsi lazima zitoke tu maana mtiti wa huyu daktari si wa kitoto. Ila ugali siachi ng'o!
Aunt umeamkaje?
Mungu mwema niko salama piaNipo Salama sijui wewe
hahahaha.mnavyowatia chaka sasa.wanajilipua tu
Mungu mwema niko salama pia
hahahaha.mie siwezi rafiki. wataweka hao hendisamu na daki nn .inatosha rafikitunasema ukweli bana, kwanza wewe ndiyo umetugomea hata mikono au miguu vibaya hivyo!!! fanya hata mkono basi[emoji3]
Nachuro byuti orijino kabisa bila chenga yaani [emoji91][emoji91][emoji91]