Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bado saa 8 na nusu mchana hapa. Namtafuta huyu mpwa wangu naye simpati. Aje azubae mpaka uondoke huko Usukumani yaani sitasalimiana naye tena...tena shwaini zake kabisa sijui anazubaa nini [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23]mkwe mwache azubae akute nimehama
 
Shangazi. Ningekuwa sijui kuwa we mbongo ningeweza kubisha usiku na mchana kuwa we ni zile pisi kali za ki-mulatto kutoka Brazil, pisi ambazo zinashikilia nambari wani kwa ulimbwende duniani.

Halafu mwenyewe upo tu yaani unacheka na sisi hapa wala huna makuu dah!

Mjomba unanipanga [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Asante mjomba...

Makuu niyatoe wapi mmatumbi mie ...
 
Back
Top Bottom