Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,403
- 12,019
Nitaweka nikipata nafasi ujionee..Kwa mashaka?
Hebu iweke hapa tena tuone
Siyo wote mahendisamu
Nitaweka nikipata nafasi ujionee..Kwa mashaka?
Hebu iweke hapa tena tuone
Siyo wote mahendisamu
Hajafuta nadhani.Et arudie
Leo siku za mahandsome kupost
Wenzangu na Mimi wa sura za kiheshimiwatukae Kwa kutulia.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app










Cuzo wako kasema mtu akikuzngua tuambieMsalimie.![]()
Kheeh!kumbe?
Kama hivyo jf kila mtu ni hendisamu na biutiful
Mbona uku mtaani sipew hizi sifa?
Nina wasiwasi mkuu uliangalia pic yangu kwa mashaka ama umefananisha na ya mtu mwingine.


Shost nasubir pic ya meza.nyie nyie JF ina watu
Weka hapa sasahivi watu wanisaidie.Nitaweka nikipata nafasi ujionee..
Iko wapi hiyo miguu?
Nimependa miguu yako
Micheko hii ndo kwenye jukwaa la intelligence wanakufukuzaga
Umepishana nayo😂Iko wapi hiyo miguu?View attachment 2236183
Unaenda wapi, au kumtandikia kitanda FIB😔😔🚶🚶🚶🚶
Kesho inshallah wala usijal,mimi sinaga mikunjo....sema mpaka leo bado sijafanikiwa kuona yako,Mangi hebu tupia hata ya krismasi hapo msee...![]()
Aisee wako speed kufutaUmepishana nayo![]()
Shangazi sio Oman, ni Iran, kuwa na kihere here ukalipuliwe huko,Wee usiniambie warudie Basi labda nitapata connection ya kufanya kaz Oman![]()








ili ugundue nini 🥸🥸 mchana nilikuwa nakutazamaa tuuu au sio wewe ambae ulihujumu 😅😅🥸😅 umepost picha na ukaomba ukagomaa kula usumbufu wako sasaAcha hizo, weka vitu me nilale
Halaf aliahidi leo, bora umemkumbusha alijisahaulisha


