Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimeona japo wakati nakwoti nikakuta keshafuta.

Kuna mabinti wakali sana hapa we acha tu. Tena hawa wakimya kimya hawa mtu unakuwa unamuona ona tu unamchukulia poa kumbe ni pisi hatari!

Mpaka nimebutwaika yaani!
Alayna kuna ujumbe wako hapa kutoka kwa kaka mkubwa
Ahsante kwa selfie matata sana wewe ni balaaa na nusu😘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…