Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Marahabaaaaa Shangzi 😁😁... uncle wangu wazimaLazima akudai jiandae kuilipa!!
Marahabaaaaa Shangzi 😁😁... uncle wangu wazimaLazima akudai jiandae kuilipa!!
Katupia vochaa 😀😀😀 watu wapo fastaaa sanaaaaUnaiforward tu fasta. Hukawii kujulikana
Afu si amesema selfie 🤳🤳 au alimaanisha vocha?
Geuka, nipo hapo nyuma yako![]()
Unaona sasa, nikajisahau etiSasa wewe si ndio mpiga picha mwenyewe?
Ndiyo vizuri kuwa activeKatupia vochaa 😀😀😀 watu wapo fastaaa sanaaaa
Kwamba uliichezea bahati!😜😜😜basi tu una Mungu sanaaa 😅😅😅😅😅 au basi
🤪🤪🤪🤪Kwamba uliichezea bahati!😜😜😜
Sio kirahisi namna hiyo
Hongera sana kwa kutuonea imani baba pasta!!hii nina opportunity kubwaa ila acha iende tuu
Khaaa hata niliona sasa. Nimekaa nasubiri selfie yako eti, acha uchoyo bana.Hiyo ni voda
Kazi kwako
*104*374505812478391#
😀😀😀 Umeona mie mwenyewe natumia voda ila nimeziachia wengine wafurahi jamaniHongera sana kwa kutukomesha imani baba pasta!!
😃😃😃😃😃😃😃 umepata vocha sasaKhaaa hata niliona sasa. Nimekaa nasubiri selfie yako eti, acha uchoyo bana.
🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
ndio uzuri wa vijana wa seminar
😃😃😃 au nilikuwa maji sana ndio maana🤪🤪🤪🤪
Na hata hufananii😜
Barikiwa mnoo baba pasta wengine wangepita nayo Juu juu!😀😀😀 Umeona mie mwenyewe natumia voda ila nimeziachia wengine wafurahi jamaniView attachment 2235101
Lini sasa leo au siku za nyuma😃😃😃 au nilikuwa maji sana ndio maana
Imeshapatwaaaaa. Nilikuwa busy nastorika😃😃😃😃😃😃😃 umepata vocha sasa
😀😀😀 siku za nyumaaa .. papparotiLini sasa leo au siku za nyuma
Tuma namba PM nikuunge 😅😅😅😅 mafutaImeshapatwaaaaa. Nilikuwa busy nastorika
Baba Mchungaji alisema nimezidi ubahili naweka vimafuta vya elfu 5, na hata akinipa hela ya full sijazi uwii. Ameshalipia matank mawili. Uko wapi nije nitumie mafuta?Tuma namba PM nikuungemafuta
😀😀😀 nipo PM .. mafuta ya buku tano utaharibu gari hiyoBaba Mchungaji alisema nimezidi ubahili naweka vimafuta vya elfu 5, na hata akinipa hela ya full sijazi uwii. Ameshalipia matank mawili, lingine linakaa hukuhuko la akiba. Uko wapi nije nitumie mafuta?