Huyu mkewe si waliachana kisa kutaka kumtoa kafara mtoto wao, mke akakataa ndo likaanza seke seke had kuachana, na kuna tetesi ananua watu wa kuwatoa kafara, yaan huyu mbena mweeeh.