Weeeee acha masihara
When it comes kwenye hilo eneo, Nishaacha watu ,sitaki utani!
Unafikiri kwann baadhi ya watumishi kitu cha Mungu kinakufa?
Adui nae yuko standaby kukuletea mtu aliyebeba kitu kitakachoua cha Mungu ndani yako!
Ndo maana kuoa/kuolewa /kuzaa watt kwa watu walio okoka ni zaidi ya vita vya tatu ya dunia!
Sbb adui anajua unazaa kitu ambacho hakijabeba mbegu yake,anajua unazaa adui yake!