Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,568
- 235,405
Sketi yetu ile[emoji91]So in everything; do to others what you would have them do to you; for this sums up the Law and the Prophets
Basi yoyote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabiiView attachment 2233998
TunasubiriaLeo nimeamka very humble[emoji23][emoji23][emoji23]Niko happy balaa utafikir sikukuu nitawabariki full muwe mnapita pita mnaweza kubahatika[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji3][emoji3]ndo aje huyo bonge la bwanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] samsung S10.
Vuta hiyo.
Umeisha honga BmW acha kupenda chini kijana
Mkuu fanya mambo basi niselfikee jomoniiiAmkeni tuselfike
hahahahahaAisee mimi ni wife material kwa baba Mchungaji tu; kwa wengine mimi ni bonge la kivuruge...
Yaani namfuatilia hapa ndo anamaliza hivyoWatoto wa kiume; nyie sio kiwanda cha kuzalisha watoto. Msiizalie dhambi"-Mama Mwakasege
[emoji23][emoji23][emoji23]Umeisha honga BmW acha kupenda chini kijana
Yeah nawafuatilia wizoYaani namfuatilia hapa ndo anamaliza hivyo
Kumbe na ww unamfuatilia wizooo?
Hii inabidi tuwe tunaikumbushia kila siku; hali ni mbaya sanaQuote of the weekβ€
Eeeh ndiwooooo
Mjeda mbona umecheka? Mimi ni pasua kichwa...hahahahaha
neno"Omba mume ambaye mtatimiza kusudi la Mungu pamoja" -Mama Mwakasege.
Hatuoi/kuolewa kwa sababu ya upendo; bali kwa sababu ya kusudi la Mungu juu ya maisha yetu. Upendo unaweza ukaishia; Leo ukajaa, kesho ukapungua; lakini kusudi la Mungu aliloweka ndani yetu litabaki kuwa lilelile. Tunaunganishwa na kusudi la Mungu
hahaha.. umelisomaneno
Hali ni mbaya kwamba wanaume tumekua viwanda vya kuzalisha nkamu??Hii inabidi tuwe tunaikumbushia kila siku; hali ni mbaya sana
hahahaha.we ndo unasema.sibishiMjeda mbona umecheka? Mimi ni pasua kichwa...
Ndiooo"Omba mume ambaye mtatimiza kusudi la Mungu pamoja" -Mama Mwakasege.
Hatuoi/kuolewa kwa sababu ya upendo; bali kwa sababu ya kusudi la Mungu juu ya maisha yetu. Upendo unaweza ukaishia; Leo ukajaa, kesho ukapungua; lakini kusudi la Mungu aliloweka ndani yetu litabaki kuwa lilelile. Tunaunganishwa na kusudi la Mungu
Tuko pamojaYeah nawafuatilia wizo
Love ( agape kind of love ) linabaki the same halina wave, but feeling zina badirika na wengi wanachukuana kwa feelin not love.. Pendo ( Love ) haliyumbi love is above all.. that why GOD is Love πππ"Omba mume ambaye mtatimiza kusudi la Mungu pamoja" -Mama Mwakasege.