Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2233518
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mbavu zangu mie.
Wala sio uongo, huyu mtindo anao bibi, niliwahi safiri nae, hot pot, na lench zimejaa vyakula, afu anatoa anakula haoni aibu kwa bus. uwiiiiih

Mtuache wangoni, hatutaki hotelin tutatapika na kuharisha.
 
Fungu mia 2, nimemiss kuzurura na dishi la mboga mboga mtaan, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Coca nawe[emoji23]

Mie nalima mwenyewe hii,kwetu mboga tunayonunua labda nyama ya ng'ombe samaki nk.[emoji23]
 
Back
Top Bottom