Selfika na JF: Snap it. Show it

🀣🀣🀣🀣
Daah bonge moja la idea.

Wacha nianze kunyanyuka, usichelewe tukutane huko barabarani
🀭🀭🀭 tutaonana nao kesho watajiongeza wenyewe ni watu wazima πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

niongee na afande ili asubuhi waje watukute kabisa selo.. ili afande aunde mazingira mapemaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… tunaingia asubuhi hiyo hiyo kipindi wanakuja kututoa
 
Ongea nae mapema aandae mazingira.

Yaani hiyo asbh wakifika nikimuona tu Big boy naangua kilio hikooo hata muda wa kuniuliza warapen hataupataπŸ˜‚πŸ˜‚
Na kesi itakua kushney
 
Ongea nae mapema aandae mazingira.

Yaani hiyo asbh wakifika nikimuona tu Big boy naangua kilio hikooo hata muda wa kuniuliza warapen hataupataπŸ˜‚πŸ˜‚
Na kesi itakua kushney
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mie nitabaki nitatoka mchana mchana au jioni, afande nimempa maelezo issue yangu aifanye kuwa ngumu .. pia atake hela nyingi nyingi ili mie kutoka , hiyo ela ikitoka ndio tutaenda nayo mwanza kuanzia eeeh πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…